- 159 viewsRussia imebadilisha jina la kikundi chake cha mamluki, cha Wagner Group, na kukiita kikosi cha kusafiri cha “Expeditionary Corps,” ambacho sasa kiko chini ya udhibiti wa kitengo cha kijasusi, cha kijeshi cha Moscow, na kinasaidia kufufua serikali za kiimla barani Afrika, kulingana na ripoti ya Taasisi ya British Royal United Services. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Wagner yabadilisha jina na kujiita “Expeditionary Corps”
- - Duniani Leo ››
- 13 Aug 2025 - A UK town applied for a High Court injunction on Tuesday to stop asylum seekers being housed in a local hotel, following protests, some of which turned violent.
- 13 Aug 2025 - Europe's car exporters are still struggling with uncertainty over U.S. tariffs despite last month's trade deal, Wallenius Wilhelmsen, the operator of one of the world's largest car-carrier fleets, told Reuters on Tuesday.
- 13 Aug 2025 - The Sh2.9 billion project began in 2019 during former President Uhuru Kenyatta’s administration.
- 13 Aug 2025 - Mr Gachagua is attempting to establish a narrative that the world should prepare for an opposition victory in 2027.
- 13 Aug 2025 - Why State has abandoned plans for Sh468b Nairobi-Mombasa expressway
- 13 Aug 2025 - Governors on trial as graft claims tarnish 12 years of devolution era
- 13 Aug 2025 - How Sh360.5m was siphoned from Afya Sacco
- 13 Aug 2025 - UK tycoon Veevers to be buried after 11 years
- 13 Aug 2025 - Ruto is not empowering youth; he is manipulating them with fake mercy
- 13 Aug 2025 - House team wants BATUK deal halted over rights abuses