- 52 viewsKijiji cha Hoske nchini Nepal, kinajulikna na wengi kama kijiji cha figo au “Kidney Village” kutokana na idadi kubwa ya wanakijiji hicho kuuza figo zao ili kijikwamua na hali ngumu ya maisha. Kwa mujibu wa WHO, licha ya sheria kali, biashara haramu ya figo duniani inazidi kushamiri huku waathirika wakubwa wakiwa watu masikini ambao wanarubuniwa na pesa kidiogo ili wauze figo zao. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
WHO yasema biashara ya figo yaathiri masikini Nepal | VOA Swahili
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - Row over human resource function has split police service commission down in the middle.
- 12 Aug 2025 - Proponents of KUAT argue that no current union has a constitutionally enshrined mandate to represent teachers working exclusively in Asal areas.
- 12 Aug 2025 - Five years after her daughter's cerebral palsy diagnosis, Catherine faced widowhood and single parenthood in one devastating blow
- 12 Aug 2025 - Gold prices fell on Monday after President Donald Trump said tariffs will not be placed on imported gold bars, while investors awaited a U.S. inflation report that could provide an indication of the Federal Reserve's rate outlook.
- 12 Aug 2025 - Four reactors at France's Gravelines nuclear power plant were shut down late Sunday due to a swarm of jellyfish in the cooling systems, operator EDF said on Monday, likely due to rising water temperatures because of global warming.
- 12 Aug 2025 - A detailed dossier has been sent by insiders to the Ethics and Anti-Corruption Commission on her alleged abuse of office.
- 12 Aug 2025 - A Raila and Ruto break-up would grant the opposition—if it remains united— smooth sailing in their quest to hand the incumbent a one-term run
- 12 Aug 2025 - Affected families recount raw pain of death of loved ones and defiled memories
- 12 Aug 2025 - Originally an election monitoring tool, Mtetezi upgraded to swiftly help rights defenders in Kenya and the region
- 12 Aug 2025 - The regions, once stronghold of Raila’s ODM, is today fractured with loyalties shifting by the day ahead of the 2027 vote.