Watengeneza Filamu wa Nigeria Wana matumaini Baada ya Mauzo ya Tiketi Kupanda sana
Sekta ya filamu ya Nigeria, aghlabu hujulikana kama Nollywood, ni watengenezaji wakubwa wa pili wa filamu ulimwenguni kwa kipimo cha wingi wa filamu hizo na inapiga hatua kwa vyote viwili Sanaa na umaarufu katika mauzo ya tiketi. Timothy Obiezu anaripoti kutoka Abuja.
Mtengenezaji filamu wa Nigeria Paul Cast anafanya maandalizi ya mwisho kabla ya kutoa filamu yake ya hivi karibuni – “Just the Two of Us.” Mradi huo unatarajiwa kuingia sokoni Aprili na Cast anasema ana matumaini itapata umarufu mkubwa.
Hadithi hiyo ilikuwa hasa kuhusu familia moja
na jinsi walivyoweza kufikia safari yao, iliyokuwa
ya raha na tabu – hasa wakijaribu kuonyesha
jitihada mbalimbali ambazo hujitokeza wakati
watu wanapokuwa katika mahusiano.
#nigeria #nollywood #bollywood #voa
11 Aug 2025
- Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour.
11 Aug 2025
- This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.
11 Aug 2025
- KUPPET claims that TSC should follow in the footsteps of the National Police Service.
12 Aug 2025
- The Senate’s attempt to extend its oversight beyond its constitutional mandate raises concerns.
12 Aug 2025
- KICD says learners who want to pursue Core Mathematics must have met or exceeded expectations throughout their primary and junior school assessments.
12 Aug 2025
- How Jose Mourinho influenced McCarthy in defensive artistry
12 Aug 2025
- Hustler Fund, e-Citizen: Stop denials and embrace honest conversations
12 Aug 2025
- Ruto puts banks to task over constant high lending rates
12 Aug 2025
- Unbowed Lagat returns despite murder probe
12 Aug 2025
- Inside school walls: The hidden reality of forced pregnancy tests, searches
12 Aug 2025
- Nairobi Hospital suspends price hikes after insurers' outcry
12 Aug 2025
- DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens
12 Aug 2025
- Farmers win round one as court halts duty-free rice importation