Princess wa Wales agunduliwa ana saratani, aanzishiwa matibabu
Kate, Princess wa Wales, alisema Ijumaa ana saratani na ameanza matibabu ya chemotherapy.
Hali yake ilielezwa kupitia ujumbe wa kanda ya video Jumatano na kutangazwa Ijumaa, ikiwa ni wiki kadhaa za kubahatisha kupitia mitandao ya kijamii kuhusu mahali alipo na afya yake tangu alipolazwa hospitali mwezi Januari kutokana na upasuaji wa tuboni uliokuwa haujafafanuliwa.
Kate aliomba apewe “nafasi, muda na faragha yake” wakati akitibiwa kutokana na aina ya saratani iliyokuwa haijafafanuliwa. - (AP)
#kate #cancer #voa
12 Aug 2025
- The changes were introduced through the Finance Act, 2025.
12 Aug 2025
- The decision was made following a meeting on Tuesday.
12 Aug 2025
- The government will also cover the medical expenses of all survivors.
13 Aug 2025
- A UK town applied for a High Court injunction on Tuesday to stop asylum seekers being housed in a local hotel, following protests, some of which turned violent.
13 Aug 2025
- Europe's car exporters are still struggling with uncertainty over U.S. tariffs despite last month's trade deal, Wallenius Wilhelmsen, the operator of one of the world's largest car-carrier fleets, told Reuters on Tuesday.
13 Aug 2025
- The Sh2.9 billion project began in 2019 during former President Uhuru Kenyatta’s administration.
13 Aug 2025
- Mr Gachagua is attempting to establish a narrative that the world should prepare for an opposition victory in 2027.
13 Aug 2025
- Why State has abandoned plans for Sh468b Nairobi-Mombasa expressway
13 Aug 2025
- Governors on trial as graft claims tarnish 12 years of devolution era
13 Aug 2025
- How Sh360.5m was siphoned from Afya Sacco
13 Aug 2025
- UK tycoon Veevers to be buried after 11 years
13 Aug 2025
- Ruto is not empowering youth; he is manipulating them with fake mercy
13 Aug 2025
- House team wants BATUK deal halted over rights abuses