Leo na kesho moto utawaka katika nyasi za uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam Tanzania ambapo kuna michezo miwili ya klabu bingwa Afrika.
Leo Simba itaingia dimbani saa tatu usiku kumenyana na Al Ahly kutoka Misri, na kesho Yanga itaumana na Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini saa tatu usiku saa za Afrika Mashariki.
Ipi nafasi ya timu hizi mbili ambazo zimeweka historia msimu huu kutoka nchi moja kufuzu hatua ya robo fainali na kuingia nusu fainali?
Mwandishi wa BBC David Nkya amemzungumza na mchambuzi wa michezo Irene Kilango.
#bbcswahili #tanzania #simbanayanga
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
20 Aug 2025
- Cooperatives and MSMEs Cabinet Secretary Wycliffe Oparanya and his Treasury counterpart John Mbadi have been ordered to appear before the Senate Committee on Labour and Social Welfare on Wednesday after failing to honour earlier summons.
20 Aug 2025
- The case, filed under Petition No. E530 of 2025, is led by Dr. Magare Gikenyi alongside Eliud Karanja Matindi, Philemon Abuga Nyakundi, and Dishon Keroti Mogire.
20 Aug 2025
- To address this, the Africa Group of Negotiators Experts Support (AGNES) has unveiled the first-ever Model Climate Change Law Framework for Africa, designed to guide countries in enacting or strengthening national climate legislation.
20 Aug 2025
- According to Bomet County disaster management officer Stanley Mutai, the victims were harvesting fine sand from rocks that had recently rolled down a cliff when the ground gave way, trapping them inside.