Watu sita raia wa Kenya wauwawa mjini Dobley Somalia

  • | Citizen TV
    4,275 views

    Watu 6 raia wa Kenya wameuwawa na watu wanaodaiwa kuwa magaidi wa kundi la al-shabab katika mji wa Dhobley nchini Somalia.