Jamii ya waluhya yakaribisha Pasaka kwa tamasha

  • | Citizen TV
    1,124 views

    Jamii ya waluhya ilikaribisha sikukuu ya pasaka kimtindo kwa kuandaa tamasha ya luhya night katika ukumbi wa Carnivore Jijini Nairobi. Kampuni ya Royal Media Services ilishirikiana na waandalizi wa obulala festival waliandaa tamasha ya kukata na shoka ya obulala, kusherehekea desturi na tamaduni za jamii ya Mulembe. Ni tamasha iliyowavutia viongozi wa kisiasa akiwemo kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa na mwenzake wa Wiper Stephen Kalonzo Musyoka.