Wakulima wa majani chai waandamana Kericho

  • | Citizen TV
    629 views

    Baadhi ya wakulima wa majani chai kutoka kaunti za Nyamira, Bomet, Kisii na Kericho wameandamana kulalamikia kutolipwa zaidi ya shilingi milioni 100, ambazo wanadai kiwanda cha majani chai cha Korara kaunti ya Kericho. Kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa wakulima hao ambao ni zaidi ya 10,000 wanadai hawajapokea malipo yao.