Wanariadha washauriwa kutokana na dawa zisizo kubalika

  • | Citizen TV
    357 views

    Mamia walijitokeza kushuhudia mbio za Marathon kaunti ya Nandi, zilizoandaliwa kwa ushirikiano wa mashirika ya kijamii na kanisa la CITAM. Miongoni mwa walioshuhudia mbio hizi ni Mwenyekiti wa tume ya kupambana na ufisadi EACC Askofu David Oginde aliyeonya wanaridha dhidi ya kujihusisha na utumizi wa mihadarati na dawa za kutitimua misuli.