Wadau waonekana kubadili mbinu katika vita hivi eneo la Samburu

  • | Citizen TV
    156 views

    Wadau kwenye vita dhidi ya dhuluma za kijinsia kaunti ya Samburu, wameonekana kubadili mbinu za kukomesha ongezeko la dhuluma hizo. Wadau hao wameridhia kutumia michezo kuwaleta pamoja wachezaji, mashabiki,na jamii nzima ili kuendeleza kampeni ya kukomesha dhuluma hizo kwenye jamii.