- 162 viewsKundi la Misaada la World Central Kitchen, WCK, limesema Jumanne kwamba shambulizi la anga la Israel limeuwa wafanyakazi wake 7 huko Gaza, na hivyo linasitisha mara moja shughuli zake katika eneo hilo. WCK katika taarifa limesema kwamba limekamilisha ufikishaji wa tani 100 za msaada wa chakula kwenye ghala moja mjini Deir al Balah, na kwamba msafara wa magari mawili ya kivita yenye nembo yake ulikuwa ukiondoka mjini humo wakati shambulizi lilipotokea. Limesema kuwa shambulizi hilo la anga limefanyika licha ya kuwepo mawasiliano na jeshi la Israel. Miongoni mwa waliokufa ni pamoja na raia mmoja wa Palestina, raia wa Australia, Poland, Uingereza na Mmarekani mwenye asili ya Canada, shirika hilo limesema. Mtendaji mkuu wa WCK, Erin Gore, aliliita shambulizi hilo kama lisilowezai kusamehewa. “Hili silo tu shambulizi dhidi ya WCK pekee, ni shambulizi dhidi ya mashirika yote ya kibinadamu yanayopeleka misaada, kwenye eneo ambako chakula kinatumiwa kama silaha ya vita,” ameongeza Gore. Mwanzilishi wa shirika hilo Jose Andres kupitia kwenye mitandao ya kijamii “amevunjika moyo na kuomboleza kutokana na vifo vya dada yetu na kaka zetu kutokana na shambulizi la IDF huko Gaza. - VOA News #kundi #WorldCentralKitchen #wafanyakazi #misaada #mauaji #jeshi #israel #voa #voaswahili #gaza #Palestina
Maziko ya Wafanyakazi wa World Central Kitchen Gaza
- 12 Aug 2025 - The operator of Wikipedia on Monday lost a legal challenge to parts of Britain's Online Safety Act, which sets tough new requirements for online platforms and has been criticised for potentially curtailing free speech.
- 12 Aug 2025 - India's top court ordered authorities in the capital Delhi and its suburbs on Monday to relocate all stray dogs to shelters within eight weeks, according to the Live Law website, after media reports of a rise in cases of rabies, especially among…
- 12 Aug 2025 - President Donald Trump said on Monday that his administration is looking at reclassifying marijuana as a less dangerous drug and potentially lower criminal penalties, but no final decision has been made.
- 12 Aug 2025 - Nigerian prosecutors on Monday arraigned five men accused of carrying out a deadly Islamist militant attack on a Catholic church in Owo, in the southwestern Ondo state, that killed at least 50 worshippers in 2022 and wounded over 100 others.
- 12 Aug 2025 - The lakeside town is already abuzz with activity as visitors arrive from across the country, creating a windfall for local businesses and spilling demand into neighbouring counties.
- 12 Aug 2025 - The Police Service Commission, tasked with reforming the process, found itself under intense scrutiny from both civilians and serving officers, with many expressing concerns that the proposed system could disadvantage candidates from marginalized…
- 12 Aug 2025 - DAP-K convenes crisis talks as Wamalwa, Natembeya rift widens
- 12 Aug 2025 - Shock as man dies in police custody after fight with wife
- 12 Aug 2025 - Kuppet demands promotion of 130,000 teachers
- 12 Aug 2025 - Letter from SA's Empangeni and lessons on urbanisation