Faye aapishwa kuwa Rais wa Tano wa Senegal
[[Bassirou Diomaye Faye aliapishwa Jumanne kuwa rais mpya wa Senegal. Faye alimshinda mpinzani wake mkuu na mgombea wa muungano wa chama tawala Amadou Ba na kumshinda kwa kupata zaidi ya 54% ya kura katika uchaguzi uliocheleweshwa. ]]
Bassirou Diomaye Faye aliapishwa Jumanne kama rais wa tano wa Senegal katika Ukumbi wa Kimataifa wa CICAD uliopewa jina la rais wa pili wa nchi hiyo, uliopo eneo la Diamniadio, kiasi cha umbali wa saa moja kutoka mjini Dakar.
Rais mpya wa Senegal amesema: “Mbele ya Mungu na taifa la wasenegal, naapa kuwa nitatekeleza majukumu ya rais wa Jamhuri ya Senegal kwa uaminifu, na kuwa nitafuata kikamilifu na kuhakikisha natekeleza vifungu vyote vya katiba na sheria mbalimbali.”
Katika hotuba yake ya kwanza baada ya sherehe za kuapishwa, Rais Faye aliwahakikishia wananchi waliomchagua kuwa yuko tayari kuipeleka nchi mbele. - VOA
#rais #senegal #upinzani #BassirouDiomayeFaye #sherehe #kuapishwa #voa #voaswahili
16 May 2024
- Kimani's father had earlier indicated that his son was suffering from bipolar disorder.
16 May 2024
- Earlier Passaris had praised President Ruto for his work ethic.
16 May 2024
- Ruto had noted that 250,000 would get employment in the German deal.
17 May 2024
- As women increasingly assert their presence behind the camera, data reveals they now make up 40 per cent of those directly employed in Kenya’s film industry.
17 May 2024
- China's Xi Jinping and Russia's Vladimir Putin on Thursday pledged a "new era" of partnership between the two most powerful rivals of the United States which they cast as an aggressive Cold War hegemon that was sowing chaos across the world.
17 May 2024
- Four universities get zero allocation for their thousands of students.
17 May 2024
- Women to benefit from 450,000 doses of self-injectable contraceptives
17 May 2024
- Apart from Kenya, Somalia and Djibouti also have candidates for the seat.
17 May 2024
- Strathmore moots agric-data hub to boost small-scale producers
17 May 2024
- Judges lock horns over JSC representative position as Justice Majanja exits
17 May 2024
- CA says internet disruption to continue on huge backlog
17 May 2024
- Residents petition Sakaja over illegal development in Nairobi
17 May 2024
- Only accredited delegates will attend Limuru III