- 546 viewsWakazi wa Marekani wameshuhudia tukio kubwa la kupatwa kwa jua Aprili Nane. Inakadiriwa kuwa watu milioni 32 wanaishi ndani ya njia maalum ambayo mwezi ulilizuia kabisa jua na wakazi wengine milioni 150 wanaoishi chini ya maili 200 (kilomita 320) kutoka ukanda huo, haya ni kwa mujibu wa NASA. Wafanyabiashara wengi walijitokeza kwa matukio maalum na huko Cleveland, ambapo viongozi wa eneo hilo wanatarajia wageni 200,000, Rock & Roll Hall of Fame inapanga "Solarfest" ya siku nne ya muziki wa moja kwa moja. Perryman Group, kampuni ya utafiti yenye makao yake makuu Texas, ilikadiria athari za kiuchumi za moja kwa moja na zisizo za moja kwa moja kutokana na tukio la kupatwa kwa jua kwa mwaka 2024 na inaweza kufikia dola bilioni 6. Mwaka huu watu wanaoishi katika njia maalum yenye upana wa maili 115, pana zaidi kuliko mwaka 2017. Inaanzia magharibi mwa Mexico, kupanda juu. kupitia miji ya Marekani ya Dallas, Indianapolis, na Buffalo, kabla ya kuishia mashariki mwa Canada. Shule nyingi zilizo kwenye njia maalum zitafungwa au kuwaruhusu wanafunzi kutoka mapema, pamoja na huko Cleveland na Montreal. #northamerica #us #mexico #canada #total #solar #eclipse #voaswahili #voa #nasa #NASA #NOAA #jua #mwezi #kupatwa #marekani
Mamilioni ya watu wavutiwa na tukio la kupatwa kwa jua
- - Duniani Leo ››
- 17 May 2024 - 23-year-old Maseno University student arrested over alleged rape of two first years
- 17 May 2024 - The Kenya Development Corporation (KDC) has released Ksh 600 million to support livestock farmers and small enterprises in the agriculture sector in arid and semi arid counties. The funds are expected to help Agriculture Finance Corporation (AFC)…
- 17 May 2024 - Years after pandemic, it is wiping out livelihoods as well as savings
- 17 May 2024 - Texas Governor Greg Abbott has pardoned a man convicted of killing a Black Lives Matter protester in 2020. Daniel Perry, an ex-US Army sergeant, was moonlighting as an Uber driver in Austin when he turned on to a street where demonstrators were marching…
- 17 May 2024 - Detectives said the suspect was on Thursday paraded for identification, and DNA sampling conducted.
- 17 May 2024 - Tensions - and voices - rose on Thursday as Donald Trump's lawyer hit back against prosecutors, accusing their star witness repeatedly of lying. On the most-tense day yet of cross-examination, Michael Cohen, Mr Trump's former fixer, described talking to…
- 17 May 2024 - The tax will be imposed at a rate of 2.5 per cent of the vehicle's value.
- 17 May 2024 - Ambassador Whitman's explanation follows complaints from some Kenyans over denial of visas
- 17 May 2024 - The commission is seeking to fill 19 vacancies in the Department of Co-operatives
- 17 May 2024 - Reading Time: 2 minutes A group of Nairobi residents yesterday took to the streets to demonstrate against what they describe as unplanned development projects […]