Viongozi wa dunia, Afrika wahudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari
Rwanda inaadhimisha miaka 30 ya kipindi cha kutisha zaidi katika historia ya taifa hilo ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi walio wachache. Hadi leo hii, makaburi mapya ya halaiki bado yanagunduliwa kote nchini humo kwenye watu milioni 14, jambo ambalo ni ukumbusho wa kusikitisha wa ukubwa wa mauaji hayo.
Rais wa Rwanda Paul Kagame ameongoza hafla ya kumbukumbu ya kusikitisha katika mji mkuu Kigali Jumapili katika maadhimisho ya miaka 30 ya mauaji ya kimbari. Wageni kutoka nje ya nchi wakiwemo viongozi wa Afrika Kusini, Congo, Ethiopia, Jamhuri ya Afrika ya Kati na Tanzania, pia Rais wa Israel Isaac Herzog. Marais wa zamani wa Marekani na Ufaransa Bill Clinton na Nicolas Sarkozy walihudhuria pia.
Kagame aliwasha mwenge wa ukumbusho na kuweka shada la maua eneo la viunga vya kumbukumbu ya mauaji hayo ambapo zaidi ya watu 250,000 wanaaminika kuzikwa. - VOA, AP
#rwanda #hakizabinadamu #kigali #paulkagame #voaswahili #mauaji #kimbari #viongozi #africa #dunia
16 May 2024
- Kimani's father had earlier indicated that his son was suffering from bipolar disorder.
16 May 2024
- Earlier Passaris had praised President Ruto for his work ethic.
16 May 2024
- Ruto had noted that 250,000 would get employment in the German deal.
17 May 2024
- China's Xi Jinping and Russia's Vladimir Putin on Thursday pledged a "new era" of partnership between the two most powerful rivals of the United States which they cast as an aggressive Cold War hegemon that was sowing chaos across the world.
17 May 2024
- Kenya, Uganda to extend oil pipeline from Eldoret to Kampala
17 May 2024
- A Nigerian rights group has launched a petition to stop plans by religious leaders and a state lawmaker to push 100 girls and young women into marriage in a mass ceremony next week, which have sparked outrage in the West African nation.
17 May 2024
- UN report shows wildlife trafficking still rampant
17 May 2024
- Compensation row derails Devki plans to build cement factory in Kitui
17 May 2024
- UDA steps up bid to solidify support in Homa Bay
17 May 2024
- Man charged with defiling minor released on Sh100,000 bond
17 May 2024
- Reading Time: 3 minutes A Senate c*mmittee has taken Garissa Governor Nathif Jama to task on why his administration has engaged an alternative medical […]
17 May 2024
- Uproar as Ruto's Kakamega flagship projects miss in budget estimates
17 May 2024
- Reading Time: 2 minutes It wi*l be difficult to sell an affordable housing unit to another buyer once the purchase has been done should […]