Jinsi wajasiriamali wanawake wanavyochangia kuhifadhi mazingira
Wanawake wawili wajasirimali nchini Msumbiji wameanzisha biashara ambayo itasaidia kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa na kupunguza uchafu wa mazingira, Amarilis Gule anaripoti kutoka katika mji mkuu, Maputo.
Vania Lazaro hupenda kuongeza mmea mpya katika bustani yake kila inapowezekana. Zaidi ya miezi sita iliyopita, amekuwa akijaribu kufanya majaribio ya mbolea mpya katika bustani yake ya maua na mboga nyumbani kwake Maputo, Msumbiji. Anasema anaishukuru bidhaa hiyo — inayoitwa N'toko Organic — mimea yake ina afya...
Dima Jone si mwanamke pekee anayeendesha biashara ya mbolea ya asili nchini Msumbiji. Takriban miaka mitano iliyopita, Karina Jamal alianzisha Koko Boxes, biashara ambayo ilikuwa ikisambaza mbolea ya asili na upakiaji na mifuko ya mazingira rafiki. Jamal amesema anataka kuanzisha biashara thabiti wakati akiwahamasisha wanawake wengine.
#wanawake #wajasiriamali #msumbiji #biashara #haliyahewa #uchafu #mazingira #amarilisgule #karinajamal
16 May 2024
- Kimani's father had earlier indicated that his son was suffering from bipolar disorder.
16 May 2024
- Earlier Passaris had praised President Ruto for his work ethic.
16 May 2024
- Ruto had noted that 250,000 would get employment in the German deal.
17 May 2024
- Team of about 200 Kenyan police officers set to arrive in the Caribbean nation.
17 May 2024
- Reading Time: < 1 minute Six traders have been charged with defrauding a farmer’s society of 452 hectares of land valued at Sh11 bi*lion within […]
17 May 2024
- Reading Time: 2 minutes Co-op Bank has reported a net profit of Sh6.58 bi*lion for the first quarter of 2024 on increased inc*me, a […]
17 May 2024
- Reading Time: 4 minutes Kenya Kwanza government is eyeing the “sin tax” as an easier option for collecting revenue to meet President Wi*liam Ruto’s […]
17 May 2024
- Deputy President Rigathi Gachagua has c*me out to explain why his office has requested Sh2.6 bi*lion for luxury. Some Sh300 mi*lion wi*l be used to renovate Gachagua’s Harambee Annex Office and the Karen and Mombasa residences, said his spokesperson…
17 May 2024
- Kenya Power has announced a scheduled blackout expected to affect two counties today, Friday, May 17, 2024. According to a statement by Kenya Power, the planned blackout which is a part of network maintenance wi*l affect Kisii and Murang’a counties. “…
17 May 2024
- It would create thousands of jobs in construction and logistics, and may revive stone quarries.
17 May 2024
- Reading Time: 2 minutes Questions are being raised about the o*****e Sh800 mi*lion budget for the Office of the Deputy President disguised as “confidential […]
17 May 2024
- In Kenya, those who forge certificates are better off than those who study for seven years.
17 May 2024
- As women increasingly assert their presence behind the camera, data reveals they now make up 40 per cent of those directly employed in Kenya’s film industry.