Wanajamii Kitui wawasilisha kesi ya kuhalalishwa kwa pombe ya kiasili mahakamani

  • | Citizen TV
    392 views

    Wakazi wa kaunti ya Kitui wamewasilisha kesi mahakamani wakitaka pombe ya kiasili ya jamii ya wakamba kuhalalishwa.