Seneta Maalum Miraj Abdillahi awataka madaktari kuwajibika

  • | Citizen TV
    88 views

    Seneta maalum Miraj Abdilahi amesema kuwa masuala wanayotaka madaktari hayawezi kutekelezwa. Seneta huyo anasema kuwa mkataba wa madaktari ulitumiwa kisiasa na serikali iliyopita ili kuwashawishi kuunga mkono serikali kwenye uchaguzi.seneta huyo amekariri kauli ya Rais William Ruto kuwa serikali haina pesa za kutekeleza mkataba huo.