Mamlaka ya mawasiliano yasambaza mtandao mashinani

  • | Citizen TV
    123 views

    Mamlaka ya mawasiliano nchini imeanzisha mikakati ya kuhakikisha maeneo yote ya mashinani yanaunganishwa na huduma za mawasiliano na mitandao, ili kusaidia kuimarisha uchumi pamoja na usalama kwa kupata taarifa muhimu.