- 104 viewsMwaka mmoja tangu kuzuka vita Sudan, hali ya kibinadamu nchini humo imezidi kuwa mbaya, mashambulizi yanayolenga raia kimaksudi yamepelekea vifo vya zaidi ya watu 14,700 wengine milioni 10.7 wamehama makaazi yao na watoto milioni 14 nchini humo wakiripotiwa kuhitaji msaada wa dharura wa kibinadamu. Katika maadhimisho ya mwaka mmoja ya vita hivi ambavyo vimetajwa kuwa mzozo mkubwa zaidi duniani. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Waathirika wa Vita Sudan wasimulia changamoto walizopitia baada ya vita kuzuka | VOA Swahili
- 17 May 2024 - A woman has moved to court seeking custody of a child she sired with a US-based Kenyan man.
- 17 May 2024 - Kenyans who have applied for passports in Nairobi and received notifications to collect the documents can do so from the Immigration offices at Nyayo House this Saturday.
- 17 May 2024 - A vaunted 'new era' of strategic partnership between Russian President Vladimir Putin and his counterpart Xi Jinping begun in Beijing on Thursday may not exactly have been sealed with a kiss, but it did lead to rare hugs between them.
- 17 May 2024 - NAIROBI Kenya, May 17 – The Kenya Human Rights Commission (KHRC) has filed a suit against Interior Cabinet Secretary Kithure Kinidki and his environment and lands counterparts Soipan Tuya and Alice Wahome over flood-related deaths and displacements.…
- 17 May 2024 - BEIJING — China’s State Council announced the appointment of several new officials on Friday. Zheng Bei was appointed deputy head of the National Development and Reform Commission. Qiu Yong was appointed vice minister of science and technology. He no…
- 17 May 2024 - A sports student in Baise, Guangxi Zhuang autonomous region, suffered a wrong-site surgery for a tumor removal in late March, according to his mother. The student, whose name was not released, experienced discomfort and pain in his left knee after…
- 17 May 2024 - BEIJING — Vice Premier He Lifeng on Friday urged efforts to push forward the construction of government-subsidized housing, dual-use public infrastructure that can accommodate emergency needs, and the redevelopment of urban villages. He, also a member…
- 17 May 2024 - The Kenya Defence Forces has handed over the Wanini Kireri Magereza hospital to the state department of correctional services following its completion and equipping. Interior cabinet secretary professor kithure Kindiki received the handover documents…
- 17 May 2024 - Political fireworks are lighting up in the Mt Kenya region, with a flex of muscles on who is who in the Central regional political arena. Speaking du**ng the Limuru III conference, several leaders have called for unity in the region, which has seemingly…
- 17 May 2024 - Narc Leader Martha Karua has urged President William Ruto to settle flood victims in affordable housing. Speaking during Limuru III conference, Karua said the victims should be given the houses for free. "Sort the flood victims to have somewhere to…