- 68 views
Watu wanne wamefariki kufuatia mafuriko katika kaunti ya Nairobi. Kulingana na gavana wa kaunti hiyo Johnson Sakaja, juhudi za kuwatafuta watu wengine sita walioripotiwa kutoweka zinaendelea. Katika kaunti ya Machakos, watu wawili wameaga dunia kufuatia mafuriko katika mtaa wa mabanda wa Kwa Mang'eli huko Athi River. Mafuriko hayo yaliyotokana na mvua kubwa iliyonyesha jana usiku, yalisababisha uharibifu mkubwa katika maeneo kadhaa ya nchi hii huku barabara kadhaa zikiwa hazipitiki. Idara ya utabiri wa hali ya hewa hapa nchini imeonya kuwa mvua kubwa inatarajiwa kuendelea katika maeneo mbali mbali ya nchi hii.
Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Watu 4 waaga dunia Nairobi na wawili Machakos kufuatia mafuriko
- - LIVE| NEWS NOW ››
- 19 May 2024 - Hundreds of protesters in Peru's capital marched on Friday to demand the scrapping of a new law that describes transgender people, among others, as having a mental illness so they can access health benefits.
- 19 May 2024 - Israeli troops and tanks pushed on Saturday into parts of a congested northern Gaza Strip district that they had previously skirted in the more than seven-month-old war, killing and wounding dozens of Palestinians, medics and residents said.
- 19 May 2024 - Slovakia's health minister said Saturday the prognosis for Prime Minister Robert Fico was "positive" after an assassination attempt as a court put the suspected gunman in pre-trial detention.
- 19 May 2024 - Hundreds of residents from Cheptigit village in Kerio Valley will spend the night in the cold after the Kenya Wildlife Service (KWS) embarked on the demolition of houses for what it terms as encroachment.
- 19 May 2024 - Firm charts green energy path with low-carbon emission engines
- 19 May 2024 - CA pushes for Sh88.5b nation-wide broadband
- 19 May 2024 - Kabarak, FKE unite to bridge industry gaps
- 19 May 2024 - Ruto allies accuse leaders of tribalism over Limuru 3
- 19 May 2024 - New Eco Levy threatens Kenya's green future and jobs, say experts
- 19 May 2024 - Gachagua expected to fight back after week of silence amid attacks