- 77 viewsInaelezwa kuwa Mataifa ya Afrika huenda yakalazimika kuchukua hatua zaidi kwenye mapambano dhidi ya Malaria baada ya kuripotiwa kuwepo aina ya Mbu wenye uwezo mkubwa zaidi wa kuambukiza vijidudu vya Malaria, Aina ya Mbu hao wanatoka kusini mwa bara la Asia, wana tabia tofauti hali inayoongeza wasiwasi katika jitihada za kutokomeza Malaria VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Aina mpya ya mbu yazua changamoto katika mapambano dhidi ya Maralia Afrika | VOA Swahili
- 19 May 2024 - Hundreds of residents from Cheptigit village in Kerio Valley will spend the night in the cold after the Kenya Wildlife Service (KWS) embarked on the demolition of houses for what it terms as encroachment.
- 19 May 2024 - The Orange Democratic Movement (ODM) party MPs have rallied to have the Azimio coalition shoot down the Finance Bill, 2024 terming it punitive and unbearable.
- 19 May 2024 - Police are investigating an incident in which a young man was shot dead during a violent confrontation between rival groups in Thika, Kiambu County, on Friday evening.
- 19 May 2024 - Thirdway Alliance party leader Ekuru Aukot says he will petition the United Nations seeking to put a stop to the deployment of police officers to Haiti.
- 18 May 2024 - Auditor General Nancy Gathungu has flagged the eCitizen Revenue Accountability Statement for the Year Ended June 30, 2023, questioning the accuracy of revenue receipts amounting to Ksh.15.5 billion which she says cannot be confirmed.
- 18 May 2024 - President William Ruto has dismissed critics questioning his leadership skills and advising him on how to approach the electorates in order to be re-elected to office for a second term.
- 18 May 2024 - Kenya women’s Under 17 soccer team head coach Mildred Cheche has challenged her charges to utilize the chances that they will create against Ethiopia in the return leg,Under 17 Women’s World Cup qualifier at Ulinzi Complex,Nairobi. Kenya held hosts…
- 18 May 2024 - COTU Secretary General Francis Atwoli now says the upcoming meeting of leaders drawn from the Western Kenya region at the Bukhungu Stadium in Kakamega County will rattle the country’s political landscape.
- 18 May 2024 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi has cautioned leaders against taking the country back to dark days when politics of ethnicity were commonplace.
- 18 May 2024 - President William Ruto's allies have come out guns blazing to dismiss the Limuru III meeting that happened on Friday, terming it as a divisive way of trying to push an agenda and undermine the Kenya Kwanza rule.