Rais Ruto apendekeza nyongeza ya asilimia sita ya mishahara kwa wafanyikazi

  • | Citizen TV
    1,560 views

    Maadhimisho Ya Leba Dei:

    Rais Ruto apendekeza nyongeza ya 6% ya mishahara

    Waajiri waonya dhidi ya nyongeza ya mishahara

    Nyongeza inachochewa na mazingira ya kiuchumi

    Wafanyikazi walipata nyongeza ya 12% mwaka 2022