Walimu wanagenzi Murang’a watishia kugoma

  • | KBC Video
    24 views

    Walimu wanagenzi wa shule za sekondari msingi katika kaunti ya Murang’a wamesema watasitisha huduma mwanzoni mwa muhula wa pili iwapo serikali haitawapa ajira ya kudumu pamoja na malipo sawa na yale ya walimu walio katika ajira ya kudumu. Uamuzi wa hivi majuzi wa jaji Byram Ongaya ulifichua kwamba tume ya kuajiri walimu TSC ilikiuka sheria kwa kuajiri walimu ambao tayari wamefuzu kama walimu wanafunzi chini ya masharti ambayo hayaafiki viwango vya sheria.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive