Ababu Namwamba asema Kenya Kwanza wana sera bora za uongozi

  • | Citizen TV
    1,014 views

    Katibu mratibu wa zamani katika Wizara ya Masuala ya nchi za nje Ababu Namwamba alipeleka kampeni za chama cha UDA katika eneo la Bunyala Kaskazini kaunti ya Busia. Kadhalika amepigia debe mrengo wa Kenya Kwanza akieleza kuwa manifesto yao inaangazia pakubwa namna ya kushusha bei za bidhaa muhimu kwa manufaa ya wakenya wote.