Kiongozi wa Ford Kenya ajitenga na zabuni ya katarasi za kura

  • | Citizen TV
    947 views

    Kiongozi wa chama cha ford kenya moses wetangula amekanusha madai ya kuhusika moja kwa moja na kampuni inayochapisha karatasi za kupiga kura akisema kuwa kamwe hajawahi kuwasiliana na maafisa wa kampuni hiyo. Mwanahabari wetu Collins shitiabayi amezungumza na Wetangula mjini kitale