Watu watatu wafariki baada ya mgodi kuporomoka mapema leo eneo la Trans Mara

  • | Citizen TV
    321 views

    Watu watatu wamefariki baada ya mgodi kuporomoka katika eneo la Taransmara Mashariki. Juhudi za kuwaokoa wachimba migodi katika mgodi huo wa Lolgirian zimekuwa zikiendelea.