Makocha humo nchini waombwa kuiga mfano wa Reinhardt Fabisch, kukuza vipaji

  • | Citizen TV
    892 views

    Makocha wa soka nchini wanaomba washika dau kuiga mfumo wa kocha wa zamani wa timu ya taifa Harambee Stars Reinhardt Fabisch ili kukuza talanta nchini kenya. Mfumo wa Fabisch ulikuwa wa kusaka talanta mashinani kwenye michuano ya timu za chipukizi.