Wakazi wa Lodokejek, Samburu waitaka wapiga mbizi stadi kusaidia kutafuta mtu aliyesombwa

  • | Citizen TV
    1,842 views

    Wakazi wa Lodokejek Samburu magharibi wanaiomba serikali kuwatuma wapiga mbizi wenye uzoefu, kuwasaidia kusaka mwili wa Mpendwa wao aliyesombwa na maji akivuka Daraja la Mto Seiya wiki iliyopita. Wakazi hao wanasema Juhudi za wapiga mbizi wa kujitolea za kusaka mwili huo zimefanikiwa tu kupata pikipiki aliyokuwa akitumia Mwendazake Kwa usafiri kabla kusombwa na maji .