Mfanyakazi wa kampuni ya Medecin Sans Frontier Turkana adai haki

  • | Citizen TV
    1,676 views

    Mzee mmoja mwenye umri wa miaka 52 aliyekuwa ameajiriwa kama fundi wa stima eneo la Lokichogio anadai haki baada ya kampuni iliyomwajiri kumlipa fedha kidogo kuliko walivyoafikiana alipopata ulemavu akiwa kazini. Mzee huyo anadai kuwa kampuni ya medecin sans frontier imemtelekeza hata baada ya afisi ya leba kuagizwa afidiwe.