Watu watatu wafariki huku mmoja akiendelea kuuguza majeraha kufuatia ajali ya barabarani Kakamega

  • | K24 Video
    63 views

    Watu watatu wamefariki huku mmoja akiendelea kuuguza majeraha baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani huko Kakamega katika soko la isulu barabara ya Musoli – Sigalagala. Watatu hao ambao walikuwa kwenye bodaboda walifariki papo hapo walipogongana ana kwa ana na lori, walipokuwa katika msafara wa mazishi.