Masomo katika shule zilizoathirika vibaya na mafuriko yaahirishwa tena kwa muda

  • | Citizen TV
    5,163 views

    Ni saa chache kabla ya wanafunzi nchini kufungua shule kwa muhula wa pili, huku masomo katika shule zilizoathirika vibaya na mafuriko yakiahirishwa tena kwa muda. Taarifa ya wizara ya usalama wa kitaifa ikisema kuwa, shule hizo zitafunguliwa tu pale ukarakati na usalama wake utathibitishwa. Na kama Serfine Achieng' Ouma anavyoarifu, familia zilizoathirika na mafuriko sehemu mbalimbali nchini bado zina wasiwasi kuhusu kuwarejesha wana wao shuleni