Kenya yaafikiana na Uganda kusafirisha mafuta kupitia bandari ya Mombasa

  • | KBC Video
    55 views

    Kenya na Uganda zimetia saini mkataba utakaotoa fursa kwa Uganda kusafirisha bidhaa za mafuta ya petroli kupitia bandari ya Mombasa. Rais William Ruto na mwenzake wa Uganda Yoweri Museveni ambao walishauriana katika ikulu ya Nairobi leo pia walithibitisha kwamba mataifa haya mawili yamekubaliana kwa pamoja kurefusha bomba la kusambaza mafuta ghafi kutoka mjini Eldoret hadi jijini Kampala katika juhudi za kufanikisha uhusiano wa kibiashara baina ya mataifa haya mawili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive