Wakaazi na wafanyibiashara wapata afueni Mukothima

  • | Citizen TV
    274 views

    Ni afueni kwa Wakaazi na wafanyibiashara wa eneo la Mukothima kaunti ya Tharaka nithi baada ya kujengwa kwa daraja lililosombwa na maji ya mafuriko. Ujenzi wa daraja hilo ulifadhiliwa na afisi ya mwakilishi wa kike kaunti ya Tharaka Nithi Susan Ngugi.