Ubomoaji unaoendelea katika mitaa ya mabanda umedaiwa kuwa una ubaguzi

  • | K24 Video
    272 views

    Ubomoaji unaoendelea katika mitaa ya mabanda umedaiwa kuwa una ubaguzi. Waathiriwa wa ubomoaji wanadai baadhi ya maafisa wanaosimamia shughuli hiyo wanachukua hongo na kusita kubomoa baadhi ya maeneo yaliyo karibu na mito .