Wabunge wa ODM wasema watapinga Mswada wa Fedha wa 2024

  • | Citizen TV
    665 views

    Wabunge wa chama cha ODM wameapa kupinga Mswada wa Fedha wa 2024 wakitaja kama mswada utakaowakandamiza Wakenya. Wakizungumza katika akunti ya Migori kwenye mkutano uliohudhuriwa na kinara wa ODM Raila Odinga, wabunge hao wamewataka wakenya kuwarai wawakilishi wao bungeni kupinga mswada huo.