Viongozi wa Baringo walalamikia kuondoleea kwa mpango wa lishe shuleni

  • | Citizen TV
    260 views

    Watu 9 wameaga dunia baada ya basi walimokuwa wakisafiria kutumbukia ndani ya Mbagathi kwenye barabara ya Ushirika katika mpaka wa Kajiado na Karen eneo la Nairobi. Watu 19 walijeruhiwa katika ajali hiyo na kukimbizwa katika hospitali tofauti katika kaunti za Kajiado na Nairobi. Kama anavyoripoti Ben Kirui, basi hilo linaripotiwa kuwa katika hali mbovu na aliyekuwa kwenye usukani si dereva halisi wa basi hilo.