Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa kike watetea haki za kibinadamu wakisisitiza umuhimu wa kukabili dhuluma za kijinsia

  • | TV 47
    151 views
    Duration: 3:22
    Wakiongozwa na Mwenyekiti wa Muungano wa Maseneta Wa Kike (KEWOSA) Veronicah Maina kwa ushirikiano na tume ya kupambana na magonjwa ambukizi, kina mama hao pia wametoa uhamasisho kwa wanawake na vijana kuhusiana na umuhimu wa kujikinga dhidi ya virusi vya hiv miongoni mwa magonjwa mengine huku wakiwataka wasichana kujihusisha pakubwa na masomo Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.' *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __ Connect with us: Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __