Rigathi ahimiza upanzi miti ili kufhifadhi mazingira

  • | KBC Video
    30 views

    Naibu rais Rigathi Gachagua ametoa wito kwa washirika wa kimataifa wa nchi hii kuongeza ufadhili kwa mipango ya serikali ya kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.Akiongea katika makazi yake rasmi ya Karen,jijini Nairobi alipokutana wanabodi wa mashirika ya kimataifa kuhusu utafiti na utunzi wa misitu ,naibu rais alisema serikali imeimarisha juhudi za kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi kama vile ukame na mafuriko ambayo yamekuwa yakishuhudiwa katika baadhi ya sehemu za nchi hii.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive