Hofu ya mlima wa Manga ilioko Kisii

  • | Citizen TV
    2,154 views

    Makumi Ya Watu Wanaoishi Chini Ya Mlima Manga Kaunti Ya Kisii Wanaishi Kwa Hofu Kufuatia Mvua Inayoendelea Kusababisha Maporomoko Ya Mawe Katika Eneo Hilo. Wakaazi Sasa Wanataka Serikali Kuweka Juhudi Za Kuokoa Hali Kabla Ya Maafa Kutokea. Na Kama Anavyoripoti Chrispine Otieno, Mlima Huo Wa Manga Una Historia Kubwa Ya Jamii Ya Abagusii.