Kifo cha mama mjamzito katika njia tatanishi lazua mzozo Kakamega

  • | TV 47
    36 views

    Familia moja kutoka eneo bunge la Butula, Kaunti ya Busia inalilia haki baada mpendwa wao, mama mjamzito kufariki katika hali tatanishi na mwanawe.

    Mama huyo alikuwa ameenda kujifungua katika hospitali ya Lung’anyiro eneo bunge la Matungu, Kakamega.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __