Uhusiano wa Rais Ruto na naibu wake Gachagua wazidi kuzua mzozo

  • | TV 47
    235 views

    Wadadisi wanasema Rais William Ruto hawezi kumudu kumpoteza naibu wake Rigathi Gachagua.

    Manyora amesema itakuwa kujitia kitanzi kisiasa kwa Ruto.

    Gachagua alizua mjadala kuhusu wazo la mfumo wa ugavi wa raslimali.

    Wadadisi wanafuatilia kwa karibu athari za mzozo kati ya Ruto na Gachagua.

    Manyora amesema huenda Gachagua alichukua likizo fupi.

    Watetezi wa Gachagua wameahidi kumlinda dhidi ya mahasidi.

    Walisema mkutano wa Limuru 3 ulishindwa kuzaa matunda.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __