Wanahabari watishiwa Kakamega

  • | Citizen TV
    436 views

    Wanahabari waliandamana hadi katika kituo cha polisi cha Kakamega mjini kushinikiza hatua kuchukuliwa dhidi ya afisa wa kaunti aliyemtishia mwanahabari mwenzao maisha .