Pendekezo la 'one man, one shilling' lapingwa Samburu

  • | Citizen TV
    342 views

    Mdahalo wa ugavi wa mapato ya kitaifa unaendelea kuibua hisia mbalimbali huku jamii za wafugaji kutoka maeneo kame nchini zikipinga pendekezo kuwa mapato yagawanywe kwa kuzingatia idadi ya watu katika kila kaunti. Jamii hizo zinasema kuwa mfumo huo utasababisha maeneo yao kuendelea kusalia nyuma kimaendeleo huku wakisisitiza kuwa takwimu za kitaifa kuhusu idadi ya watu sio sahihi. wafugaji wanapendekeza mfumo wa kuzingatia ukubwa wa eneo .