Wanafunzi katika shule saba wahamishwa baada ya mafuriko Isiolo

  • | Citizen TV
    186 views

    Wanafunzi katika shule saba zilizoathirika na mafuriko katika eneo la Metri kaunti ya Isiolo sasa wamepata afueni baada ya kuruhusiwa kusomea katika shule jirani ambazo ziko salama.