Kimbuga cha laly chasababisha kifo, uharibifu Kilifi

  • | Citizen TV
    2,426 views

    Mwanafunzi mmoja wa chekechea katika Kaunti Ndogo ya Kaloleni, Kaunti ya Kilifi amefariki baada ya kujeruhiwa na bati lililoezuliwa kutoka kwenye jengo kufuatia upepo mkali ulioshuhudiwa eneo la Pwani.