- 50 views- - - - - VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
ZULIA JEKUNDU - NAOMI ACHU KUTUMBWIZA KATIKA TAMASHA LA MADARAKA DAY MAREKANI
- - 🔴 TV47 LIVE ››
- - Duniani Leo ››
- 12 Aug 2025 - Gold prices fell on Monday after President Donald Trump said tariffs will not be placed on imported gold bars, while investors awaited a U.S. inflation report that could provide an indication of the Federal Reserve's rate outlook.
- 12 Aug 2025 - Four reactors at France's Gravelines nuclear power plant were shut down late Sunday due to a swarm of jellyfish in the cooling systems, operator EDF said on Monday, likely due to rising water temperatures because of global warming.
- 12 Aug 2025 - A detailed dossier has been sent by insiders to the Ethics and Anti-Corruption Commission on her alleged abuse of office.
- 12 Aug 2025 - A Raila and Ruto break-up would grant the opposition—if it remains united— smooth sailing in their quest to hand the incumbent a one-term run
- 12 Aug 2025 - Affected families recount raw pain of death of loved ones and defiled memories
- 12 Aug 2025 - Originally an election monitoring tool, Mtetezi upgraded to swiftly help rights defenders in Kenya and the region
- 12 Aug 2025 - The regions, once stronghold of Raila’s ODM, is today fractured with loyalties shifting by the day ahead of the 2027 vote.
- 12 Aug 2025 - The long running suit had sought denying it regulatory powers over advocates and allowing them to join different professional associations.
- 12 Aug 2025 - The operator of Wikipedia on Monday lost a legal challenge to parts of Britain's Online Safety Act, which sets tough new requirements for online platforms and has been criticised for potentially curtailing free speech.
- 12 Aug 2025 - India's top court ordered authorities in the capital Delhi and its suburbs on Monday to relocate all stray dogs to shelters within eight weeks, according to the Live Law website, after media reports of a rise in cases of rabies, especially among…