- 11 viewsMajeshi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo yanasema kuwa yamezima jaribio la mapinduzi mapema Jumapili na kuwakamata wahalifu, wakiwemo raia wa kigeni kadhaa. Hii ilifuatia mashambulizi yaliyofanywa katika kasri ya rais na makazi ya mshirika wa karibu wa Rais Felix Tshisekedi ambapo watu watatu waliuawa katika mji mkuu, Kinshasa. Sita kati ya hao waliouawa ni pamoja na washambuliaji watatu na kiongozi wao, kiongozi wa upinzani aliyekuwa anaishi ughaibuni Christian Malanga, msemaji wa jeshi la Congo Brigedia Jenerali Sylvain Ekenge aliwaambia waandishi wa habari Jumapili usiku, akiongeza kuwa wahalifu takriban 50 walikamatwa. Video hiyo inaonyesha watu kadhaa wa Congo ambao hakutambulishwa, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi la ulinzi ilichosema kilikuwa ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa wamezingirwa na wanajeshi wa Congo. Wamarekani wawili, wanaoshukiwa kuhusika katika kile jeshi ilichosema ni mapinduzi yaliyofeli, wakiwa chini wamezungukwa na wanajeshi wa Congo (mtoto raia wa Marekani wa Christian Malanga katika picha ya chini, iliyozungushiwa duara jekundu). #mapinduzi #drc #jeshi #wanamgambo #felixtshisekedi #voa #voaswahili #christianmalanga #jenerali #sylvainekenge #congo #rais #felixtshisekedi
Wamarekani 2 washukiwa wa jaribio la mapinduzi wakamatwa DRC
- - Kenya's gold part 2 ››
- - Kenya's gold part 1 ››
- 11 Aug 2025 - Kenya and the U.S. state of California are strengthening cooperation in technology, climate innovation, and sustainable development, President William Ruto announced on Monday.
- 11 Aug 2025 - Fresh fighting between the Somali government and forces loyal to the semi-autonomous southern Jubaland region killed at least two Somali soldiers on Monday, the defence ministry said.
- 11 Aug 2025 - Justice Bahati Mwamuye issued the directive after lawyer Kibe Mungai, representing the petitioner, informed the court that the DPP had yet to file his response, stalling progress in the case.
- 11 Aug 2025 - Police in Kilifi County say they have discovered seven shallow graves with human bones and skulls at Kwa Binzaro village.
- 11 Aug 2025 - The Nairobi Hospital on Monday announced it had suspended the implementation of its recently announced price adjustments following a meeting with medical insurance providers.
- 11 Aug 2025 - Mobile phone ownership in Kenya has risen from 47.3% in 2019 to 53.7% in 2024 as internet usage also increased nationally from 22.7 per cent in 2019 to 35.0 per cent in 2024.
- 11 Aug 2025 - Special trade agreements between Kenya and the UK allow the export of both goods and labour, and it is unclear what impact the changes will have.
- 11 Aug 2025 - The President said Kenya and the United States enjoy strong national and sub-national ties, with California.
- » Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case He says the court has no authority to force the DPP to charge him. News 38 min ago Listen, Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case News 38 min ago Listen- Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case He says the court has no authority to force the DPP to charge him. News 38 min ago Listen, Ojwang murder: DIG Lagat moves to block murder case News 38 min ago Listen
- 11 Aug 2025 - This comes a day after the case was reported at the Capitol Hill Police Station.