Takriban Watu tisa wameuawa na wapatao 50 kujeruhiwa baada ya upepo mkali kusambaratisha jengo kubwa la tamasha inakofanyika mikutano ya kisiasa huko Mexico, Jumatano.
Picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii zimeonyesha madhara yaliyotokea punde baada ya jukwaa kuanguka, watu wakikimbia na kupiga kelele wakati upepo mkali ukipiga
Shiria la habari la Reuters liliweza kulinganisha picha ya eneo hilo kwa kuangalia video za vyombo vya habari vya ndani vilivyokuwepo katika na eneo la tukio zilizopostiwa na mgombea umeya wa San Pedro Garza Garcia, Lorenia Canavati katika mtandao wa kijamii.
Shirika la habari liliweza kuthibitisha tarehe ya picha hizo kutoka maktaba ya Metadata.
Jorge Alvarez Maynez, mgombea urais wa chama cha Centrist Citizens' Movement, alisema upepo mkali ulisababisha jukwaa kuporomoka wakati wa mkutano wa kampeni katika jiji la San Pedro Garza Garcia, eneo tajiri karibu na kitovu cha Monterrey.
#mexico #rally #stage #collapse #deaths #injuries #voaswahili
12 Aug 2025
- Authorities in Taiwan were scrambling on Tuesday to evacuate hundreds ahead of a possible landfall by Typhoon Podul on the island's southeastern coast, while nearby areas battle to recover from floods and record winds brought by previous storms.
12 Aug 2025
- Hundreds of cabin crew members took their fight to major Canadian airports on Monday, picketing against unpaid labor, as talks on wages intensify between Air Canada AC.TO and its flight attendants this week ahead of a possible strike.
12 Aug 2025
- Condemnations poured in from the United Nations, the EU and media rights groups Monday after an Israeli strike killed an Al Jazeera news team in Gaza, as Palestinians mourned the journalists and Israel accused one of them of being a Hamas militant.