Mashindani ya voliboli kaunti ya Trans Nzoia

  • | K24 Video
    35 views

    Zaidi ya timu 14 ya wanawake na 12 ya wanaume iliyojumuisha shule za sekondari,ile ya msingi,vyuo Anwai pamoja na vilabu vilijumuika kwenye uga wa Shule ya upili ya Kesogon kaunti ya Transnzoia kushiriki mashindano ya mchezo wa volibali.