Dancun Mathenge, ameitaka serikali ya kitaifa kupitia wizara ya elimu kulipa madeni ya shule

  • | NTV Video
    243 views

    Akizungumza katika hafla ya kusambaza basari ambapo alitoa hundi ya shilingi milioni 50, mbunge huyo alisema serikali imekuwa ikitoa sehemu ndogo tu ya fedha hizo na kuchelewesha au kukosa kuziwasilisha fedha za malimbikizi baada ya mwaka wa masomo kuisha.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya